Description: Safari YA Juma by Edwin W. Scroggins, Ysuph R. Emmanuel Estimated delivery 3-12 business days Format Paperback Condition Brand New Description UNAWEZA KUTEMBEA UMBALI KIASI GANI UKIWA PEKU? Mwandishi wa "Safari ya Juma" anakualika uifuatilie simulizi ya kijana Juma aliyetembea peku umbali wa kilomita 1529 kutoka Mbeya iliyopo kusini hadi Arusha iliyopo kaskazini mwa Tanzania. Masaa kadhaa kabla ya kufariki, Juma alimwahidi mamake kuwa angemtafuta mzungu mmishenari aliyeko Mbeya ili amweleze habari za Yesu. Juma agundua kua yule mzungu ameishaondoka Mbeya kuelekea Arusha na hivyo hana budi kumfuata huko ili kuitunza ahadi aliyomwahidi mama yake ambaye sasa ni marehemu. Katika safari hii hatari, Juma akumbana na vipingamizi vingi vya kimwili na kiroho pia. Utamhurumia anapokumbana na chui na kulengwa na majangili, anapotekwa na kutumikishwa kiutumwa. Je! atasalimika kutoka katika mikono ya mbwa-mwitu wakali wanaomwinda msituni? Akiwa amepoteza fahamu na ni mgonjwa amelala kando ya barabara, Je! kuna matumaini yeyote ya kuokolewa? Je, atafika Arusha? Soma kitabu hiki ili kupata majibu! Author Biography Baada ya kutumika kwa miaka 23 katika sekta ya sayansi ya teknolojia (Miaka 16 na Texas Instruments), Edwin Scroggins aliamua kubadili fani yake. Ili kujiandaa katika sekta ya elimu ya Kikristo, Edwin alijiunga na chuo na kupokea shahada ya Elimu ya Biblia na pia kupokea Shahada ya juu ya elimu ya watu wazima. Mwaka 1978, Edwin alijiunga na chuo cha Dallas Bible College kama mmojawapo wa wakufunzi. Alitumika katika chuo hicho kama msaaidizi wa raisi wa chuo katika kuandika miradi mbalimbali ili kupata misaada kutoka katika taasisi tofauti tofauti, pia alikuwa mkufunzi hapo chuoni na mratibu wa mitaala mbalimbali kwa wanafunzi walioko nje ya chuo. Miongoni mwa vitabu alivyoandika ni pamoja na Prophecy for Today kilichochapwa na Chuo cha Biblia cha Dallas mwaka 1971, na pia kitabu kiitwacho Bible Prophecy in a nutshell, kilichochapwa na BookSurge mwaka 2007. Aidha vitabu vingine kama, Strawberry Lane na Return to Strawberry Lane, vyote vilichapwa na BookSurge mwaka 2007. Kitabu kiingine kiitwacho How I Built My Retreat Cabin in the Woods and Lived to Write About It kilichapwa na BookSurge mwaka 2008. Mwaka 2010, kampuni ya CreateSpace Ilichapa kitabu kingine cha Edwin kiitwacho The Promise and Passion of Christ the King. Toka mwaka 1961, Edwin amekuwa akiishi katika mji wa Richardson, Texas pamoja na mkewe Alma, ambaye wameishi pamoja kwa miaka 61. Mke wake alifariki Aprili, 2011, na Edwin alikusanya kila kitu ambacho mke wake alikuwa akiandika na kisha kuandika kitabu kiitwacho Songs in the Night: Memories of Alma Grace Scroggins (Kilichapwa na CreateSpace mwaka 2012). Edwin anaendelea kuishi katika nyumba yake ambayo yeye na mke wake wamekuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka 50. Details ISBN 1499359861 ISBN-13 9781499359862 Title Safari YA Juma Author Edwin W. Scroggins, Ysuph R. Emmanuel Format Paperback Year 2014 Pages 134 Publisher Createspace Independent Publishing Platform GE_Item_ID:93262241; About Us Grand Eagle Retail is the ideal place for all your shopping needs! With fast shipping, low prices, friendly service and over 1,000,000 in stock items - you're bound to find what you want, at a price you'll love! Shipping & Delivery Times Shipping is FREE to any address in USA. Please view eBay estimated delivery times at the top of the listing. Deliveries are made by either USPS or Courier. We are unable to deliver faster than stated. International deliveries will take 1-6 weeks. NOTE: We are unable to offer combined shipping for multiple items purchased. This is because our items are shipped from different locations. Returns If you wish to return an item, please consult our Returns Policy as below: Please contact Customer Services and request "Return Authorisation" before you send your item back to us. Unauthorised returns will not be accepted. Returns must be postmarked within 4 business days of authorisation and must be in resellable condition. Returns are shipped at the customer's risk. We cannot take responsibility for items which are lost or damaged in transit. For purchases where a shipping charge was paid, there will be no refund of the original shipping charge. Additional Questions If you have any questions please feel free to Contact Us. Categories Baby Books Electronics Fashion Games Health & Beauty Home, Garden & Pets Movies Music Sports & Outdoors Toys
Price: 16.48 USD
Location: Fairfield, Ohio
End Time: 2024-12-28T03:14:43.000Z
Shipping Cost: 0 USD
Product Images
Item Specifics
Restocking Fee: No
Return shipping will be paid by: Buyer
All returns accepted: Returns Accepted
Item must be returned within: 30 Days
Refund will be given as: Money Back
ISBN-13: 9781499359862
Type: Does not apply
Book Title: Safari Ya Juma : Riwaya Ya Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania
Number of Pages: 132 Pages
Language: Swahili
Publisher: CreateSpace
Publication Year: 2014
Topic: Action & Adventure / Survival Stories
Item Height: 0.3 in
Genre: Juvenile Fiction
Item Weight: 7.4 Oz
Item Length: 8 in
Author: Edwin Scroggins
Item Width: 5.2 in
Format: Trade Paperback