Description: Safari YA Kuwa Huru by Scott Reall Kama ungebadili maisha yako, ni vipi yangekuwa tofauti ?Safari ya kuwa huru ni uzoefu binafsi ambao utaongozwa kupitia mchakato wa kujulikana na wewe mwenyewe, watu wengine na Mungu pia. Safari ya kuwa huru inatuonyesha: - Ya kwamba mabadiliko ya kudumu yanawezekana.- Vile unaweza kushinda vikwazo na uwe na nguvu ya kuendelea mpaka mwisho.- Jinsi ya kuandika azimio lako mwenyewe kuhusu mabadiliko ili uweke fikira zako kwenye safari yako."Ninapendekeza kitabu hiki kwa kikundi cha watu, kwani kinampa mtu binafsi nafasi kubwa ya kujifunza, kukua na kuwajibika kwa kila mhusika kwenye kikundi. Kitabu hiki kilinifanya nitambue kuwa ya kale yamepita na ninaishi katika maisha mapya yenye uhuru".--Cornel Onyango, Co-Founder and Country Director for Care for Aids, Inc.Kupitia kitabu cha Safari ya kuwa Huru katika kikao cha kikundi kidogo, kulivunja minyororo ambayo ilikuwa imeniweka katika utumwa kihisia, kiakili na kiroho. Kuwa na mawazo yaliyo na afya zaidi kumeniwezesha kwa hakika kuweza kupata upendo wa Mungu na uwepo wake kila siku.--Anna Edgeston Ed.D. LPC -MHSP Scott Reall alifuzu kutoka chuo kikuu cha Otterbein mwaka wa 1976 na Shahada ya Sanaa Katika Afya na Sayansi ya mazoezi akiwa na imani ya kwamba kuna mengi zaidi kuhusu kuwa mzima bali na kuwa na mwili wenye kimo cha kufaa. Yeye ni kiongozi katika mwendo wa duniani kote wa jamii za uponyaji za vikundi vidogo ili watu wote wakue na wabadilike pamoja katike mahali palipo na usalama na mahali watakubalika. Scott ameandika vitabu vinavyofuatana ambavyo vinahusu safari na ndiye Mwanzilishi wa huduma ya vikundi vidogo vya urejesho duniani, isiyo ya kuleta faida iliyoanzishwa Nashville TN. FORMAT Paperback LANGUAGE Swahili CONDITION Brand New Long Description Kama ungebadili maisha yako, ni vipi yangekuwa tofauti ?Safari ya kuwa huru ni uzoefu binafsi ambao utaongozwa kupitia mchakato wa kujulikana na wewe mwenyewe, watu wengine na Mungu pia. Safari ya kuwa huru inatuonyesha: - Ya kwamba mabadiliko ya kudumu yanawezekana.- Vile unaweza kushinda vikwazo na uwe na nguvu ya kuendelea mpaka mwisho.- Jinsi ya kuandika azimio lako mwenyewe kuhusu mabadiliko ili uweke fikira zako kwenye safari yako."Ninapendekeza kitabu hiki kwa kikundi cha watu, kwani kinampa mtu binafsi nafasi kubwa ya kujifunza, kukua na kuwajibika kwa kila mhusika kwenye kikundi. Kitabu hiki kilinifanya nitambue kuwa ya kale yamepita na ninaishi katika maisha mapya yenye uhuru".--Cornel Onyango, Co-Founder and Country Director for Care for Aids, Inc.Kupitia kitabu cha Safari ya kuwa Huru katika kikao cha kikundi kidogo, kulivunja minyororo ambayo ilikuwa imeniweka katika utumwa kihisia, kiakili na kiroho. Kuwa na mawazo yaliyo na afya zaidi kumeniwezesha kwa hakika kuweza kupata upendo wa Mungu na uwepo wake kila siku.--Anna Edgeston Ed.D. LPC -MHSP Scott Reall alifuzu kutoka chuo kikuu cha Otterbein mwaka wa 1976 na Shahada ya Sanaa Katika Afya na Sayansi ya mazoezi akiwa na imani ya kwamba kuna mengi zaidi kuhusu kuwa mzima bali na kuwa na mwili wenye kimo cha kufaa. Yeye ni kiongozi katika mwendo wa duniani kote wa jamii za uponyaji za vikundi vidogo ili watu wote wakue na wabadilike pamoja katike mahali palipo na usalama na mahali watakubalika. Scott ameandika vitabu vinavyofuatana ambavyo vinahusu safari na ndiye Mwanzilishi wa huduma ya vikundi vidogo vya urejesho duniani, isiyo ya kuleta faida iliyoanzishwa Nashville TN. Details ISBN154565963X Pages 228 Publisher Xulon Press Language Swahili Year 2020 ISBN-10 154565963X ISBN-13 9781545659632 Format Paperback Publication Date 2020-02-21 Imprint Xulon Press Subtitle Mwanzo wako wa Maisha yenye Tumaini, Afya, na Furaha Author Scott Reall Short Title Safari YA Kuwa Huru UK Release Date 2020-02-21 Audience General We've got this At The Nile, if you're looking for it, we've got it. With fast shipping, low prices, friendly service and well over a million items - you're bound to find what you want, at a price you'll love! TheNile_Item_ID:126615952;
Price: 37.25 AUD
Location: Melbourne
End Time: 2025-02-05T07:27:13.000Z
Shipping Cost: 9.34 AUD
Product Images
Item Specifics
Restocking fee: No
Return shipping will be paid by: Buyer
Returns Accepted: Returns Accepted
Item must be returned within: 30 Days
ISBN-13: 9781545659632
Book Title: Safari Ya Kuwa Huru: Mwanzo Wako Wa Maisha Yenye Tumaini, Afya, Na Furaha
Item Height: 229mm
Item Width: 152mm
Author: Scott Reall
Format: Paperback
Language: Swahili
Topic: Psychology, Mental Health, Opinion of the People
Publisher: Xulon Press
Publication Year: 2020
Type: Textbook
Item Weight: 308g
Number of Pages: 228 Pages